Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ile label ya TAMADUNI MUZK itakuwa hapo siku ya Jumamosii bhanaaaaaa Usikose mtu wangu kiingilio n 1000 pale CLub MARINA.# USIKOSE HIII MTU WANGU
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Actor Wesley Snipes released from prisonBy CNN Staff updated 4:30 PM EDT, Fri April 5, 2013 Wesley Snipes in 2010, the year he was convicted on tax charges. STORY HIGHLIGHTS Snipes...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo kulikuwa na tamasha la muziki wa injilili Singida, waimbaji kama Rose Mhando, Hahati Bukuku, Ambwene walialikwa lakini baada ya ufunguzi muandaaji wa tamasha hilo Prosper aliwatambulisha...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Bora aache mziki saa hii hawezii kabsaa kaunabisha bovya hapa#DjMwanga.blogspot.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani mi nilikuwa mpenzi mkubwa wa 24 series, hivi kuna series gani nyingine mpya yenye muonekano wa kama 24?? yaani ya kispy spy?? tusaidiane wakubwa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HIVI HII SI LAANA KWA DIAMOND? ~ BoNGO's BloG BOFYA HAPO
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msanii Ne-Yo kawapaka live wasanii wanaoimba kwa kutumia CD kwenye majukwaa. "kama msanii, unapaswa kujifunza kuimba au kucheza kwa wakati mmoja. Hiyo ndiyo kazi yako" mfano "kama huwezi kazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
katika hali ya kusitajabisha,baada ya q chief kuongea na kutoa maneno mengi kua msanii diamond anatembelea nyota yake imezidi kujidhihirisha wazi kua msanii q chief amechoka na anatafta tu pa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MagicFM wana tangazo lao ambalo husema anayekuna na anayekunwa nani anasikia raha???? if someone can read between the lines ni rahisi sana kuelewa kwamba hili tangazo ni matusi matusi, ingawa sio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nchi nyingi Dunia hata hizi nchi zinazoitwa dunia ya tatu nchi inaweza kutoa msanii ambae anajulikana duania yote,mfano kama Yusoe ndur wa Senegal,Seif Keita mali,kofi Olimide nk, Katika tafiti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KUNA TV SERIES KIBAO, ILA MIONGONI MWAO ZILIZO BAMBA NI NIKITA (ikaishia hewani) GAME OF THRONES (ikaishia hewani), KUNA PREASON BREAK, 24 HRS. NAHITAJI KUANZA KUFUATILIA TV SERIES NYINGINE...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Halle Berry Pregnant With Olivier Martinez's Child: A Boy!Celebrity Moms April 5, 2013 AT 1:40PMBy Justin Ravitz Halle Berry and Olivier Martinez expecting first child together.Credit: Michael...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
mwenye ujuz tafadhal jitolee
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Habarini wana jf wenzangu naomba mtu mwenye wimbo wa mpoto chochea kuni ninashida nao aniwekee hapa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MINI NI MPENZI SANA WA TELENOVELA(TAMTHILIA) HASA HIZI ZA SOUTH AMERICA. KWA STARTIMES NAIPENDA CHANNEL YA STVE2 AMBAYO NINAIPATA BAADA YA KULIPA ELFU TISA. STVE1 SIPATI KWA KUWA NATAKIWA KULIPA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WACHEZA UCHI KATIKA SHOW YA DIAMOND ~ BoNGO's BloG BOFYA KUJIONEA
0 Reactions
4 Replies
5K Views
HIVI UNAJUWA TOX STAR NA LUCY KOMBA ni KAMA JAY Z & BEYONCE.. ~ BoNGO's BloG BOFYA HAPO
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. natafuta wimbo unaoitwa Kibera acha chuki, umeimbwa na kassongo Mpinda kama sikosei. kama kuna mtu anajua tafadhali auweke humu ama aniambie wapi nitaweza kuupata. asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanaJF naombeni mnisaidie kunitafutia series ya ISS PYAAR KO KYA NAAM DOON kwa yeyote aliyekua nayo anitaarifu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juma Nature last weekend alitawazwa kuwa mfalme wa Temeke akiwa na kundi lake la Wanaume Halisi. Juma kwa kipindi kirefu amekuwa kipenzi cha wana TMK na wanaburudani kwa ujumla. Chochote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom