Pata nyimbo za kale - swahili

Pata nyimbo za kale - swahili

naaam!!nimekubali ya kale dhahabu bwana!!!achana na kuku kapanda baiskel!
 
asante sana ila mie nikisikiliza nakumbuka sana home afu nakuwa depressed.....
 
Hizi redio za bongo zote tangu wameziunganisha kwenye tunien zinacheza kwa shida sana, tofauti na zilipokuwa peke yake.
 
Back
Top Bottom