Music Production Studio - Test Mpya ya Muziki

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,707
Tumefungua Music Studio ya Kisasa.

Kama una kipaji cha kutunga na kuimba nyimbo na unadhamira ya kufanya kazi nzuri sana basi unakaribishwa.

Interest yetu ni kutengeneza Muziki utakaopendwa na watu wa rika zote watoto, wazee na vijana na kudumu kwa miaka mingi. Muziki unaokusudiwa utakuwa katika kiwango cha juu na pia utaibua vipaji vipya. Yupo Producer ambaye ni kijana mdogo na anayeijua kazi vyema.

Tupo Tancot House; Sokoine Drive/Pamba Road; Ground Floor; City Centre; Opposite Luther/Life House.

Mawasiliano yote yapitie barua pepe:
jasonsltd@gmail.com
 
Hmm...yaani wewe bana. Wewe kwenye kila kitu upo tu. Kwenye muvi upo, kwenye ubongo fleva upo, kwenye harambee za kuchangisha mkwanja upo, kwenye kufukuzia totoz upo....

Nna masela wangu toka east zoo wanatafuta studio ya kutengenezea ngoma zao kama tatu hivi....utatuchaji shi'ngapi?
 
Majomba; umesahau na vitu vingine vingi tu . . . . haaaa haaaaa

Wadau waambie waje. Ila kama wanafanya Ubongo wa Fleva, Producer mtoto hafanyi maana zinachuja haraka halafu wazee wanazikandia. So, tunabuni vitu vipya boss.

Waambie waje tutaongea biashara.
 
vitu vipya kama vipi? be open coz tuko wengi tunao hitaji hayo makitu...
mtoto hafanyi ubongo wa fleva kwanini, coz i believe akishalipwa chake mambo ya ngoma kuchuja haraka hayamhusu...???
 
Mkuu si swala la kulipwa bali la kuwa mbunifu, kwa ubunifu inawezekana kabisa kufanya vitu vipya. Mfano angalia kuna baadhi ya nyimbo za miaka mingi zinapendwa na wengi wa kila rika hadi leo mfano za akina Jim Reeves; "Rangi ya Chungwa"; "Vundela"; "Umkombochi" nk nk. Inaweza ikawa si katika maana hiyo strictly lakini inawezekana ku-improve na kuleta vitu vipya vitakavyodumu.

yapo malalamiko kuwa Bongo Fleva imepoteza mwelekeo. Nyimbo nyingi zinafanana, beats wanaibiana; zinachuja haraka; mashairi yanafanana. styles, dressing nk nk.

Tunaangalia namna ya kuleta tofauti
 
oooh, umesomeka.....sasa tuongee biashara,, inbox me the price, then i make a step...
 
Back
Top Bottom