Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,139
Leo asubuhi,nilisikiliza wimbo wa kitambo kidogo wa kundi la zamani la muziki wa kizazi kipya-Daz Nundaz uitwao Jahazi. Katika wimbo huu,Daz Nundaz wanaimba wakiwa wote:Critic,Daz Baba,Ferooz,Larumba na Sajo. Waliimba vizuri sana.Kila mmoja aliimba kwa umaridadi sana.
Kiukweli,wimbo huu umenikumbusha uwepo wa kundi hili. Nawaomba popote mlipo na chochote mfanyacho mnisikie.Mnahitajika kurudi kundini na kufanya kazi zenu. Sameheaneni na kusonga mbele. Umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu!