Mie ni mmoja wa wale niliotokea sana kuwapenda Choc Stars na Bozi Boziana na mtindo wao wa Nzawisa yaani NJOO. Ndiyo maana wakicheza wanakuwa kama wanaita mtu ingawa Nyinga za Sikola na mwenzake...
Published on 10 Dec 2012Kama livyo desturi ya Jamii Production, kila tupatapo nafasi tunawaletea mahojiano na watu mbalimbali kuhusiana na mambo mbalimbali wanayofanya ama yanayotokea katika jamii...
Mimi nashangaa sana, hawa jamaa wa TBC hizo frequency wanazitoa kwa utaratibu gani? maana nimesikia watu wanasema frequency za tbc2 kwenye LNBF ya Ku-band wamezitoa, lakini sijasikia kama...
Mimi binafsi kuna kitu huwa kinanitatiza sana, Christmas ni tarehe 25 December na mwaka mpya ni kila tarehe 01 January. Sasa swali langu ni hili kwa nini watu wanatakiana marry Christmas and...
Congratulations! Kim Kardashian Pregnant With Kanye's Baby
Dec 31, 2012
By Deborah Bennett, Senior Editor
Even though she's still legally married to Kris Humphries, Kim Kardashian is...
huu wimbo wa kitambo mkolon kavunja mbavu ile mbaya mi ile ya jamaa anapenda mapapai sitaisahau wewe je ipi inakuchekesha ,
kama huujui sikiliza Wagosi wa Kaya - Sifa za kijinga | Muziki.net
Amani kwenu wadau... Jamani kuna wimbo mmoja ni maarufu sana kipindi cha Pasaka, na unaimbwa na makanisa ya RC (sina uhakika na mengine) Baadhi yetu tunauita Hallelujah Kuu. Uzuri wa wimbo huu ni...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amewatumia
salamu za rambirambi, ndugu, jamaa na wasanii wote nchini kufuatia kifo cha msanii
Juma Kilowoko (Sajuki)...
PGA-nominated Skyfall is the second most mistake-filled movie of 2012By Bryan Enk | Movie Talk 3 hours ago
Photo: Columbia PicturesHey, no one expects a 007 mission to go completely perfectly...
PGA-nominated Skyfall is the second most mistake-filled movie of 2012By Bryan Enk | Movie Talk 3 hours ago
Photo: Columbia PicturesHey, no one expects a 007 mission to go completely perfectly...
ukiachilia mbali series kama 24hrs, lost, P/Break, OZ, Merline, n.k....Jamani kuna muvi series inaitwa FRINGE, Nayo ni utamu mtupu....tena kwa wanafunzi wanopenda masomo ya sayansi hapo ndo...
Leo nilikuwa nacheki Kora awards 2012 on UBC (Uganda) iliyofanyika Abidjan . Ddnt know it still exists, what happened kwa nini TV zetu hazitangazi tena Kora Awards? Nimeona nominees from TZ like...
Nitakuwa mchoyo wa fadhira nikikosa kuwapongeza startimes kwa kushirikiana na serikali yetu kutuingiza kwenye zamadigitali. Ombi langu kwenu ni moja tu, jamani boresheni QUALITY ya sauti. There...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.