njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 228
Nilikua mkoani iringa nikisikliza moja ya radio inayorusha matangazo yake kutokea mkoani mbeya.kipindi kilikua ni kama mdahalo na mada ilikua ni UTAZITAMBUAJE/UTAITAMBUAJE filamu iliyotengenezwa tanzania kwa kuiangalia tu bila kusikiliza sauti na kusoma maandishi ya utambulisho? mmoja wa wasikilizaji akapiga simu akasema..UKIONA FILAMU INAANZA ALAFU JINI LINATAKA KUVUKA BARABARA LINAOGOPA MAGARI UJUE WABONGO HAO..,,,,,,,je wewe unayesoma hapa ni vipi utaitambua filamu ya kibongo?