Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ni jumapili nyingine tulivu wanajamvi ndani ya mwaka 2013 ikiwa imetulia wengi wetu tukiwa nyumbani.leo nimeona si vibaya tukirudisha hisia zetu nyuma kwa kukumbuka makumbi ya starehe yaliokuwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu nitapata wapi kitabu cha hadithi "Adili na Nduguze"? Nafikiria kutengeneza filamu yake in 3 to 5 years from now. Nikipata kitabu cha "Kisa cha Hassan-li-Basir" nitafurahi pia. Nilivisoma...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
http://youtu.be/PmV-A2dxvUk
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Hello friends! I search a partner for swap/selling coins of african countries. I'm a Brazilian coin colletor, and find african coins. I have interest in buy coins, and swap coins. Have a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi Nakumbuka Kipindi Cha Hongera RTD kilikuwa mida ya mchana wakati ndo narudi shule nikiwa STD 1,2 hivi. Nmechoka jua kali njaa ya kutosha nmechafuka ile mbaya.. Nikifika 2 ndani friji liko wapi...
1 Reactions
87 Replies
13K Views
http://youtu.be/CXYeZi2D4eo
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Tafadharini wekeni na nyimbo za ddc mlimani park maana wapenzi wa ddc wapo kama mimi na tungependa kununua baadhi ya nyimbo kwa njia ya iTunes ni rahisi kwa tusioweza kupata cd zao
0 Reactions
2 Replies
2K Views
have you ever read these novels? One bright summer morning? A point of no return! Vulture is a patient bird Tiger by the tail A paw in the bottle- author James Hadley Chase THE HOG GREEN...
1 Reactions
36 Replies
10K Views
Habari zenu! Naulizia beach nzuri na ya gharama nafuu kigamboni kuanzia entrance mpaka vinywaji na rooms. Nataka kesho kutoka na wifi/shem wenu. Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Enjoy............ Bala.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Inaitwa Mambopoint.com. Karibuni
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kusherehekea miaka 49 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar leo kupitia TBC nimefurahishwa mno kumuona aliyekuwa rais wa Zanzibar mh Amani Karume akisisimkwa na ngoma ya Msewe kiasi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakali wa hip hop Tanzania one the incredible wamejitoa M LAB ambapo ndo studio walio kuwa wanarecord ngoma zao kali. wakali hao wa hip 2 hip hop wamethibitisha hili baaada 2 ya mkataba wao wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo ya wazungu hayo na mafunzo ya wanyama kutengeneza fedha YouTube-The Olate Dogs - America's Got Talent 2012 New York Auditions
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mie ni mmoja wa wale niliotokea sana kuwapenda Choc Stars na Bozi Boziana na mtindo wao wa Nzawisa yaani NJOO. Ndiyo maana wakicheza wanakuwa kama wanaita mtu ingawa Nyinga za Sikola na mwenzake...
2 Reactions
3 Replies
9K Views
Published on 10 Dec 2012Kama livyo desturi ya Jamii Production, kila tupatapo nafasi tunawaletea mahojiano na watu mbalimbali kuhusiana na mambo mbalimbali wanayofanya ama yanayotokea katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi nashangaa sana, hawa jamaa wa TBC hizo frequency wanazitoa kwa utaratibu gani? maana nimesikia watu wanasema frequency za tbc2 kwenye LNBF ya Ku-band wamezitoa, lakini sijasikia kama...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mimi binafsi kuna kitu huwa kinanitatiza sana, Christmas ni tarehe 25 December na mwaka mpya ni kila tarehe 01 January. Sasa swali langu ni hili kwa nini watu wanatakiana marry Christmas and...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Congratulations! Kim Kardashian Pregnant With Kanye's Baby Dec 31, 2012 By Deborah Bennett, Senior Editor Even though she's still legally married to Kris Humphries, Kim Kardashian is...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
huu wimbo wa kitambo mkolon kavunja mbavu ile mbaya mi ile ya jamaa anapenda mapapai sitaisahau wewe je ipi inakuchekesha , kama huujui sikiliza Wagosi wa Kaya - Sifa za kijinga | Muziki.net
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom