Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ninazijua link nyingi za ku-download videos za muziki lakini zote ni kwa ajili ya mobile phones. Kwa yule anayejua links za ku-download free music videos katika format ambayo ni compatible na PC...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kinarushwa saa ngapi wakuu?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kama uliwahi kukutana na filamu yenye mikasa ya kutisha na ya kusisismua basi hii kiboko. Katika risti humo ndani kuna Chopa wa Mchopanga, Irene Uwoya, Gabu, Chuchu Hansi, Rich mgogoro mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna nyimbo za wasanii zimehit sana na zinakonga nyoyo. Ila swali, je hizi nyimbo kwa nini zinaongezeka kipindi cha awamu ya 4?? Mfano wimbo wa kichwa kinauma wa TMK wanaume, Kala Jeremia kaimba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kesho jumatano kwenye kipindi cha XXL nyimbo mpya Izzo Bizness inayoitwa ball player itazinduliwa rasmi katika nyimbo hiyo amemshirikisha Albert mangwair, quick rocka na mwanadada hatari wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Farid Kubanda 'Fid Q' ametukiwa na cheti na afisa mtendaji mkuu wa taasisi ya Under the Same Sun, Mr Peter Ash kutokana na kujitolea katika mapambano dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
tuambiane wanajamvi muvi ipi huisahau na unaikubali mno,kwangu mimi naikubali sana DISTRICT 13,RUSH HOUR 3,HITMAN,VIVA RIVA,SHERLOCK HOLMES,KUNG.FU HUSTLE,UNDISPUTED,tupia na zako hapa
0 Reactions
123 Replies
10K Views
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose...
3 Reactions
54 Replies
26K Views
mwanamuziki wa kizazi kipya Amani Temba ‘Mh Temba’ amesema amerudishwa nyuma sana baada ya kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya Verros na mikatamba mbalimbali ya kazi na vitu vingine vilivyokuwemo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wakuu ndugu zangu nimeikumbuka filamu ya KIBUYU enzi hizo.Ilikuwa ikitangaza kuhus NSSF.Je naweza ipata wapi?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
http://youtu.be/OwWNU_EcKmo
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Mpe somo mkuu huyu jamaa sio mwanachuo kabisa kwani hao viongozi wa udosso hajui ofisi zake zilipo?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Behind Bars Crime26 Comments Another chance to see the BAFTA award winning presenter traveling to northern California to visit America's notorious San Quentin State Prison. Built in 1852, San...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wengi tunamfahamu mwanamuziki Defao kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, lakini ni wachache tunaofahamu wapi alikotokea kimuziki. Defao alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 1980...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Bendi hii haijarekodi nyimbo zozote tangia album ya "supu ukitia nazi" ya mwaka 2009.mnijuze bendi hii bado ipo?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sikuwahi kusikia wimbo wa 2030 ila leo nimeusikiliza mara 4 sijaelewa maudhui na uwezo wangu umekoma.Mbona falsafa nzto?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hebu naomba mwenye hii songi iliyopigwa na Les Wanyika(sina uhakika pia) anisaidie,nauzimia sana huu mwimbo..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa ufupi 1. "2030" "leo Ridhiwani hafanani na Makongoro", kaskazini bila Tanga ni sawa na msondo bila Ngurumo, kwenye njaa kali kula kuku aliye chinjwa na Padri I love.......Tazama gongo la mboto...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
mwenye link ya kuidownload naomba anitumie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://www.kabibi.com/index.php?option=com_hwdvideos hare&task=viewvideo&Itemid=106 &video_id=365
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom