Nyimbo ya Godzilla yasasambuliwa!.

Nyimbo ya Godzilla yasasambuliwa!.

sekulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
988
Reaction score
158
Huyu jamaaa anandikaje Mashairi yake!

[video=youtube_share;8oO_8Z548-U]http://youtu.be/8oO_8Z548-U[/video]
 
we nae zero tu.king zila ni nouma,get off my way,king zila,salasala..et.c we ana swagg ka 50 vile.inshot hapa bongo hawamuwezi kwa free style.miamia wana..
 
hAHAHA NI SAFI SANA, Hetazzzzzzz, Jamaaa mkali ila safi mziki wetu utaendelea kukua
 
Kanichekesha na sijaelewa anaposema anapesa zaidi ya baclays za NBC, sijamuelewa hata kidunchu but its all Good
 
Kanichekesha na sijaelewa anaposema anapesa zaidi ya baclays za NBC, sijamuelewa hata kidunchu but its all Good

kamanda using'ate maneno huyo dogo hamna kitu,
walioshuhudia alivyotendwa vibaya na Nick Mbishi kwenye WAPI pale BC (BRITISH COUNCIL)....
Wabongo wengi wamelewa na "wafu fm" kila wanachoambiwa wanapokea,
ile yeye kutembea/kuchana kama 50C ni kinatosha kabisa kumtema na ndoto zake za mchana
 
we nae zero tu.king zila ni nouma,get off my way,king zila,salasala..et.c we ana swagg ka 50 vile.inshot hapa bongo hawamuwezi kwa free style.miamia wana..

Kwa kua unamjua zila ndo maana unasema kwa freestyle ni noma but wapo watu wanaweza na hata zilla mwenyeze anawajua na kuwahanya.
 
Ha ha ha ha hii post inachangiwa na wadau wanao jua na wasio jua...... So kuelewana itakua haiwezekani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom