the event tafadhali

the event tafadhali

Tich

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
47
Reaction score
0
Anaefahamu nitakakoweza pata the event season ya pili na kuendelea maana kila kitafuta siipati nliangalia season ya kwanza na sikuimalizia iliishia kati ni mtu alinipa kwenye soft copy naitafuta hadi leo bila mafanikio
 
the event nilikuambia discontinued due to lack of viewers
kabla hujacheki series mkuu Google kuona kama ipo highly viewed..
maana wenzetu ukidoda tu wanakupiga ban kwenye kideo
 
the event nilikuambia discontinued due to lack of viewers
kabla hujacheki series mkuu Google kuona kama ipo highly viewed..
maana wenzetu ukidoda tu wanakupiga ban kwenye kideo

Dah hivi ilikuaje ikakosa viewers mbona niliona ipo hot sana
 
Back
Top Bottom