Empor of the sea vs jumoung

Empor of the sea vs jumoung

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Wapenzi wa series za wakorea, ipi kati ya hizo ilikuwa tity?
 
ITV wameleta za kikorea nyingi lakini Jumong mwisho, kisha the land of wind, emperor of the sea halafu the slave hunters, hizi zote zilikuwa kali
 
hakuna kama jumong aiseeeee......... hiyo ndo series ya kuonyesha watoto ili wajifunze uwajibikaji.....
tafuta KING GWANGGAETO THE GREAT,... nayo kali sanaaaaa... ina episode 92...
 
hakuna kitu kama SLAVE HUNTERS,ndani yake kuna vionjo vya Slanted Ear,daegil.yaani acha tu...
 
Jamaa wako mbali sana kwenye creativeness...Jumong ni funika bovu na hata The land of the wind kwasababu unaweza kujikuta ukiwa peke yako penye kulia unalia,penye kucheka unacheka n.k Series za emperor of the sea na slave hunters zinafuatia kwa ukali. Jamaa wanatufunza kwa mengi siyo kama hizi za kibongo mara waigizaji uwaone kitandani,kwenye ngazi,beach,sebulani,kwenye gari,shopping basi ndo filamu inaisha!
 
Mzazi jumong achana nayo...never seen before movie kali kama hiyo

twende mbele turudi nyuma emperor of the sea ni noumaaaa kuzidi hata jumong!! da nikikumbuka jang bogo! yu moon the favourites one aisee ni noumaaa!!
 
Kuna moja nadhani imeishinda hata Jumong...inaitwa JEWEL IN THE PALACE...ile nayo ilikuwa kiboko..
 
Jumong kiboko then inkifuatiwa na pt 2 yake Land of Wind...Song IL Guk (Jumong) ni actor mkali sana.
 
Mwalimu 11:24
Yesterday Jumong kiboko then
inkifuatiwa na pt 2 yake
Land of Wind...Song IL Guk
(Jumong) ni actor mkali
sana
hapo umenena
 
mbali na hapo wakuu hapa nlipo naicheck kim soo roo ni zaid ya land of the wind
na Queen Siendok
 
JUMONG ni kiboko, land of the wind na Queen Siendok ni zaidi ya Emperor of the sea
 
jumong na the Great queen seondeok( Deokaman)...............
 
Back
Top Bottom