Habari ya mapumziko ya mwisho wa wiki!
Wakubwa kama kuna mtu mwenye interest kama mimi na Zilipendwa hasa za Afrika Kusini naomba msaada anisaidie wapi naweza kupata Album nzima ya Mwanamuziki wa Afrika Kusini Sydey Pepe yenye nyimbo hizi:

1. Mama's Baby 2. Wampolya 3. Guy Fawkes 4. Gimme Your Love 5. Panana Kara 6. Happy Birthday 7. Ntate Ngwana 8. Jealosy 9. Manana 10. Kim By Nite
Nitashukuru sana kwa msaada wenu
Nitashukuru sana kwa msaada wenu