Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
::
Nimekuwa shabiki wa nyimbo za Zilipendwa na napenda sana kujua machache yahusuyo baadhi ya wanamuziki
::
Kuna miziki ya kale kama
Embe dodo
Itawezekanaje
Jabali
Kidege
Mtoto si nguo
Rabeka
Tukatike
Ukitaka
Wazee wakumbuke
N.k
::
Je nyimbo hizi zimetungwa na Fundi Kondo au Ni kundi la Mushroom,
Je, ni wakenya? Wako wapi mpaka sasa? Na je,rumba ya aina bado ipo?
::
Kwa anaejua anifahamishe,,nitashukuru sana
=