Nakumbuka utotoni kuona Wana Serere ambao unazungusha Ufunguo na wao wanaanza kucheza.
Ila hapa unawaona Wana Sesere wakiwa hai na wazima. Wanajitahidi hawa Watoto.
Things To Do In Tanzania Today
Ladies Free @ Club Aq
Ladies Free
One Love @ Bluemoon Club
For The Best Reggae Roots,Dancehall and Lovers Rock
Jazz Fusion @ Mafian Fish Lounge
Live Jazz Music...
Salamu kwa wote!!!
Inasemekana kuwa project ya 24 Hours imekufa ("project is now dead in the water.")
taarifa zaidi Bofya hapa au soma maelezo hapo chini!!!
Time runs out for 24 the movie...
SONG: KARIBU DAR,
ARIST: KALLA JEREMIAH ft BEN POL
PRODUCER: MBEZI,
intro: BROTHER TUMA EEE NGOJA KWANZA EE
PRODUCER MBEZI YOOH HAHA 0444 SMART MUSSIC
ubeti wa kwanza(KALLA)
PICHA...
Tanzania Weekly Movie Schedule
Jack the Giant Slayer
Jolly LLB
Hansel & Gretel: Witch Hunters
I, Me aur Main
Monsters, Inc.3D
A Good Day to Die Hard
KUPATA MOVIES SCHEDULE MOJA KWA MOJA...
Pengine una hamu ya kuangalia Tamthilia za Nyumbani ila wanapojaribu kuweka tasfiri ya lugha ya kigeni ni vyema wakatafuta mtaalamu wa lugha hiyo na sio kutumia watu holela.
Hivi ni vipande tu...
Radio zimeongezeka!!! sasa unaweza kuisikia TOP RADIO FM ya Morogoro kwenye Intanet kupitia www.radiostationstz.com. Sasa tumewaongezea nafasi ya kuchagua kipi cha kusikiliza kati ya vituo vya...
Sekta ya filamu Tanzania kwa sasa inajulikana duniani licha ya matatizo yake, licha ya mtayarishaji wa filamu wa Tanzania kuendelea kuishi maisha ya chini yasiyo tofauti na mtu mwingine wa...
UNASIKIA filamu fulani ya Kitanzania ikitangazwa sana kwenye magazeti na kwenye televisheni kama si redio.
Unahamasika kuinunua kwa ajili ya kuitazama wewe na familia yako wikiendi hii...
Baada ya kuanzishwa kwa matangazo ya digitali kumetokea msambaratiko mkubwa sana wa vituo vya televisheni hasa kutokana na kuwa na makampuni tofauti yanayorusha matangazo kwa njia ya digitali...
Viongozi wengine wanakurupukaga kwa interest binafsi, eti Huyu waziri mdogo wa utalii, sijui anaitwa Nyalandu kapiga marufuku kuuzwa pombe makumbusho ya taifa, sasa hajui kuwa inaendeshwa kwa...
Tangu jana huku arusha radio clouds haipatikani kabisa. Jana walimwita january makamba akaongelea kuhusu mambo ya digitali na kumaliza tu clouds hawakusikika teeeeeeeeeeeeeeeeena.
Poleni
Dar es Salaam. Wamiliki wa vituo vya utangazaji vya televisheni nchini, wamesema watasitisha kurusha matangazo ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa kutokana na kushindwa kumudu gharama za uendeshaji...
Napenda kuanza kwa kunukuu maneno ya Afande sele ndani ya wimbo wa MTAZAMO. "HUU NI MTAZAMO MASELA MSIJENGE CHUKI"
Nimetoka kuangalia video ya wimbo ninaoupenda sana wa "me and u" ulioimbwa na...
Habari wana jamvi,
Nachukua nafasi hii, kwa niaba ya wanajamvi wote na wapenzi watazamaji wa ITV ambao wapo JF kuipongeza kwa kuwa wamestahili kuitwa super brand no1 mna quality hiyo so keep it...
"MFUMO WA DIGITALI UTAWAANGAMIZA WASANII WA TANZANIA"....HAYA NI MAONI YA CPWAA KUHUSU CHANGAMOTO ZA TASNIA YA BURUDANI
Rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa amesema uamuzi wa Tanzania kuhama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.