Clouds Tv inaiga sana EATV

Clouds Tv inaiga sana EATV

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
kwa kibongo bongo EATV,wamajitahid sana naona clouds tv wanakopi sana maujanja ya eatv,sasa wana mpango wa kirusha kipindi mithili ya in da house ambacho kilikuwa kinarushwa na eatv..
 
Na hao EATV wao wameiga toka wapi hicho kipindi?

watanzania bhana, swali kwa swali..... utakuwa unafanana na ruge kiakili..... kila kitu cloud Tv Wanainga kutoka EATV nalipo wazi mpaka EATV wanakamsemo

~ Acha tufanye yetu na Wewe fanya yako babu na baada ya kutoelewa wakaja na
~ Kaushaaaaa babu.

Bado tu unabisha, na EATV ni maujanja yao tu wanawatalamu kabisa tofauti na upande wa pili na ushabiki tu na sura nzur plus sauti.
 
Hicho kipindi cha In da haus na wao wameiga bana. Usitake kuwapa credit kana kwamba ni wabunifu kihivyo.

Hata kile kipindi cha Mkasi nacho kimeigwa vilevile. Unabisha?
 
Tu-assume wameiga, sasa kama tayari east Africa kulikua tayari kuna kipindi cha powerbreak fast, nyie mliiga ili iweje?

Sasa kama Citizen nao wamegelezea toka kwingine utawananga vipi Clouds na kusema wamewaiga Citizen?
 
Hicho kipindi cha In da haus na wao wameiga bana. Usitake kuwapa credit kana kwamba ni wabunifu kihivyo.

Hata kile kipindi cha Mkasi nacho kimeigwa vilevile. Unabisha?

clouds ni mabingwa wa kuiga ona hata sports bar n extra,powerbreak fast wanaiga mpk majina ya vipindi..inawezekana hata EATV wameiga lkn wao ndo walikuwa wa kwanza kutupa hayo maujanja Tz so clouds tv nao waige huko walete hapa as they did in sports bar n extra as well as power break fast..wamekopi mpk majina..kiukweli wamefilisika kimawazo..they should come up with their own copied stuffs frm abroad instead of copying hapa bongo..
 
clouds tv...ndio hawa wenye mashati ya chuichui au....mikanda ya chuma...
 
Back
Top Bottom