clouds tv kuiga kubamba ya citizen tv

clouds tv kuiga kubamba ya citizen tv

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
duh hii tv kwa kuiga balaa,wanajinadi km wanakuja ma kipindi kipya lkn ni copy n paste ya kubamba hile ya Citizen Tv ya Kenya..
 
kuiga sio kubaya,ila wanatakiwa waacknowledge source..
 
Wameiiga vibaya. Nimekua nikifuatlia wala hawana mvuto. wenzao Kenya wamekopi toka majuu ila huwa wana acknowledge kimtindo....... you can check it kwenye Youtube kwa Neno Just for Laugh
 
Hao wanapenda vya dezo, wenzao wameumiza vichwa wao wanajichukulia tu senzi zao, kuweni wabuni nyinyi au ndo mnategemea kutoa 0713 zenu, maana hamuishi kuupigia debe huo upumbav na mwisho wake mnakuw mazezeta!!!
 
Pia kuna tune fulani ipo africa magic nao nasikia wanaipiga, wameweka maneno yao ya the people's station.
 
duh hii tv kwa kuiga balaa,wanajinadi km wanakuja ma kipindi kipya lkn ni copy n paste ya kubamba hile ya Citizen Tv ya Kenya..

Ujue hata citizen wamedesa Zeze popcorn tv.
 
Back
Top Bottom