Mkubwa Jalala
Senior Member
- Mar 21, 2012
- 112
- 23
Soma Barua hii ya wazi
kutoka kwa mdau wa
BONGO FLEVA.
Naitwa Mtanzania Halisi Machungu !
Ninao ujumbe mdogo kwa jamii ya
burudani hapa nchini,wiki iliyopita
Tuzo za muziki wa Tanzania
zilitangaza majina ya wahusika
watakuamo kwenye kinyanganyiro
hicho kwa mwaka 2013 ni sawa kabisa
wala sina la kuhoji kwa kuwa
tayariwametajwa hao pekee.
Point yangu hapa ni kwa baadhi ya
categories, kuna nyimbo kama sorry
ya barnaba boy ni ya mwaka huu
kabisa lakini imo na inawania
tuzo,sasa basi waache ubabaishaji
kabisa na pia kuna category ni THT
tupu hii ina maana kuwa tuzo
imeenda THT hakuna nafasi kwa watu
wengine hiyo si kweli.
Sina maswali sana na categories
nyingine, hip hop hivi fid q hua hajui
au ni kwa nini hapewagi award na
kwa nini hathaminiwi na kura watu
hua tunampigia sana tu,hata hao
watoto watamdharau mwisho wa siku
wakati hawana hata robo ya uwezo
wake.
Kwenye raga naomba watanzania
wenzangu tufunguke macho na
tuachane na uongo unaopangwa
kuna jamaa anaitwa dabo huyu jamaa
siamini kama kuna hata mmoja kati
ya waliopangwa nae wanaomuweza
baada ya raia kupiga kura sijui hua
kuna nini kinafuata mpaka hapewi
tuzo mwaka huu naomba haki
itendeke na jamaa apewe tuzo yake
wasisubiri afe.
Dada yetu Jide nakubali ni legendary
lakini kwa mwaka jana hakua na heat
yoyote labda wanamuogopa tu kwa
kweli kwa utajiri wake,halafu kwa
upande mwingine kuna dogo anaitwa
belle 9 nae wanamnyanyasa sana
kiukweli hali itendeke hapa sio kilasiku
diamond au dimpoz ni ujinga.
Mambo ni hayo tu kwako Mtanzania
mwenzangu unaetaka maendeleo ya
muziki wetu lazima ukweli
uonekane.Ni hayo tu !!!!!
kutoka kwa mdau wa
BONGO FLEVA.
Naitwa Mtanzania Halisi Machungu !
Ninao ujumbe mdogo kwa jamii ya
burudani hapa nchini,wiki iliyopita
Tuzo za muziki wa Tanzania
zilitangaza majina ya wahusika
watakuamo kwenye kinyanganyiro
hicho kwa mwaka 2013 ni sawa kabisa
wala sina la kuhoji kwa kuwa
tayariwametajwa hao pekee.
Point yangu hapa ni kwa baadhi ya
categories, kuna nyimbo kama sorry
ya barnaba boy ni ya mwaka huu
kabisa lakini imo na inawania
tuzo,sasa basi waache ubabaishaji
kabisa na pia kuna category ni THT
tupu hii ina maana kuwa tuzo
imeenda THT hakuna nafasi kwa watu
wengine hiyo si kweli.
Sina maswali sana na categories
nyingine, hip hop hivi fid q hua hajui
au ni kwa nini hapewagi award na
kwa nini hathaminiwi na kura watu
hua tunampigia sana tu,hata hao
watoto watamdharau mwisho wa siku
wakati hawana hata robo ya uwezo
wake.
Kwenye raga naomba watanzania
wenzangu tufunguke macho na
tuachane na uongo unaopangwa
kuna jamaa anaitwa dabo huyu jamaa
siamini kama kuna hata mmoja kati
ya waliopangwa nae wanaomuweza
baada ya raia kupiga kura sijui hua
kuna nini kinafuata mpaka hapewi
tuzo mwaka huu naomba haki
itendeke na jamaa apewe tuzo yake
wasisubiri afe.
Dada yetu Jide nakubali ni legendary
lakini kwa mwaka jana hakua na heat
yoyote labda wanamuogopa tu kwa
kweli kwa utajiri wake,halafu kwa
upande mwingine kuna dogo anaitwa
belle 9 nae wanamnyanyasa sana
kiukweli hali itendeke hapa sio kilasiku
diamond au dimpoz ni ujinga.
Mambo ni hayo tu kwako Mtanzania
mwenzangu unaetaka maendeleo ya
muziki wetu lazima ukweli
uonekane.Ni hayo tu !!!!!