Mwanamuziki mahiri nchini Judith Wambura 'Jide' ambaye yuko safarini mkoani Dodoma, Jumamosi iliyopita alionesha kuhofia kutupiwa jini Ruge, baada ya kupita wiki kadhaa tangu azinguane na mabosi...
'heshima wadau...
...ee bwana nimepewa zoezi la kupeleka watu kwanja kwa leo may day ila sjajua ni wapi kwa leo kina-happen wadau nkasema JF hakishindikani kitu ngoja nizame.
Ila sasa kuna...
USTADHI FUNGUKA:ISHU YA DIAMOND KUBAKI NA MAREHEMU BI KIDUDE KUNYONYA NYOTA ZA BI KIDUDE
Baada ya msiba wa Bi Kidude kumalizika, hivi karibuni ziliibuka taarifa kuwa mwanamuziki Nasibu Abdul...
napenda sana movie, na uwa najiskia vibaya napoona movie mbaya za kibongo, script hazijitoshelezi,na zile ambazo ni nzuri, mara nyingi zinakuwa copycat ya movie za nje.....mimi huwa naandika tu...
Howdy?
When I was a teenager in the late 1990s and early 2000s, I never missed boogieing down on weekends.
It was the era that saw a boom of down-south hip hop music. Damn! I had unforgettable...
Wakuu kuna movie flani niliiona kama 2008 au 2009 hivi. Hii movie siikumbuki jina, lakini nakumbuka baadhi ya sehemu zake. Part ninayoikumbuka ni kwenye ndege ya abiria. Kulikuwa na ugomvi kati ya...
Sir Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi akiwanyooshea Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa NANI MFALME ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao...
Wakuu nimekumbuka enzi hizo nikiwa mdogo mdogo kulikuwa na muvi moja ya kikomando tulikuwa tunaipenda sana (mimi na vijana wenzagu enzi hizo). Stelingi wake tulikuwa tunamwita 'Komando chambo'...
WANAWAKE WAUNGANA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND
Ni kwa Kumdhalilisha Bi. Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo nyeti!
Kitendo cha Mwanamuziki wa...
Toleo jingine la wimbo maarufu wa mapenzi, pengine kuliko zote zilizowahi kuimbwa barani Afrika. Wimbo huu umeimbwa na Miriam Chemmoss, msanii wa muziki mwenye mizizi ya Kenya na Tanzania...
No one knows why music has such a potent effect on our emotions. But thanks to some recent studies we have a few intriguing clues.
New music 'rewards brain'
Why do we like music? Like...
WASALAAM WAPENZI WA HIPHOP ...
NAOMBA MSUPPORT HII MOVEMENT HAWA VIJANA WANATOA DARASA KILA JUMAMOSI KWA NJIA YA FREE STYLE /MITINDO HURU .. NI VIJANA WATAMADUN MUZIK WAKINA ONE THE INCREDIBLE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.