Msaada king'amuzi kilicho na ubora

Msaada king'amuzi kilicho na ubora

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
260
Naombeni msaada wadau, kwa sasa natumia STAR TIMES,lakini kinanisumbua sana kwa kuganda ganda sana mpaka sioni hata raha ya kua nacho, Nilikua nataka labda nichukue ZUKU au DIGITEK au kama kuna chochote kisiwe star times,Ushauri jamani nichukue king'amuzi gani na kina ubora gani?
 
Back
Top Bottom