Nadhani Orijino Comedy wameanza kuishiwa...

Nadhani Orijino Comedy wameanza kuishiwa...

Gronkjaer

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
304
Reaction score
127
Wanajamii kwa muda sasa orijino comedy wamekuwa wakirusha segment ya salama condom binafsi siioni kama inajenga maana watu wataacha kuangalia kwa kuhofia kuharibu watoto wao......Naomba mawazo yenu labda mm naelewa vibaya...
 
kuna kaule msemo --------mficha ugonjwa mauti humuumbua! so nibora waoneshe kilakitu bila aibu ili baadae watanzania wasijeuhumbuka!
 
Tena anayehusika na sehhemu hiyo ni mlokole.na sijui kama dhehebu lake halipingi uasherati?
 
Ulokole wa mtu hauhusiani na dhehebu lake bali ni mahusiano yake yeye na Mungu wake.

Tena anayehusika na sehhemu hiyo ni mlokole.na sijui kama dhehebu lake halipingi uasherati?
 
Naona imekua nikipindi cha matangazo tu vichekesho hamna tena..kwa sasa wameishiwa
 
Back
Top Bottom