Big up richard wa big brother....

Big up richard wa big brother....

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Katika pita pita yangu you tube nikakutana na movie moja ya ki nigeria siikumbuki jina vizuri ila nilishangaa sana kumuona richard wa big brother 2007 ndan ya movie hiyp iliyoambatana na waigizaj mahili wa kike nchini humo kama inni edo,jack appiah na uche jombo.ni movie kal sana na jamaa alicheza kama play boy.safi sana kaka nilipenda ulivyocheza sema ulikuw na mapepe sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom