Clouds media inapotumia global pubrishers kumshambulia jayd

Clouds media inapotumia global pubrishers kumshambulia jayd

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
4,990
Reaction score
4,269
Hivi karibuni tumetoka kuskia na kuona habari na walaka ulio tolewa na msaani mwanadada Jayd kuhusiana na madudu na unyanyasaji unaofanywa na hiki kikundi cha watu wawili kilicho sajiliwa kisheria na kuwa kampuni(clouds media group),mwanadada Jayd alijaribu kutueleza yaliyo rohoni mwake na kuweka bayana msimamo wake katika hili jambo.

Kupitia magazeti yanayomilikiwa na kampuni ya global publishers Ruge na mwenzie Kusaga wakuwa wakimpiga vijembe vya waziwazi Jayd ikiwanapamoja kujifanya bila wao hakuna mafanikio ya wasaani hapa Tanzania,juhudi zao zakinyonyaji hawa watu ziko wazi kabisa walahazihitaji ushahidi,nanguvu yao ya dhuluma wanayoifanya nikutokana na kuwa na mfumo mbovu wahakimiliki pamoja na sheria inayo walinda hawa wasanii.

Wakati wa harakati za Antivirus yaliongelewa mengi japo kuwa ilionekana watoa mada walikiuka maadili lakini ilikuwa katika kuufahamisha umma ni jinsi gani kundi dogo la watu wawili likishiriki katika dhuluma kisa linapata support kutoka kwa watu flan serikalini.Magazeti haya yamekuwa yakijifanya kutoa taarifa ambayo inakuwa inapinga na hiki kinachoongelewa na kushuhudiwa na hawa wasanii,ikiwa napomoja na kuwaponda
kama watu walio kosa maono, wakati wao wenyewe global publisher wakiwa wanajua mabaya yanayofanywa na genge la kihuni la clouds media,pia nachokiona hapa nikuwa globalpublishers ni genge lingine kama ilivyo kwa clouds media..Ninayo mengi kuelezea ilaningependa ni wape nafasi na wengine wanaotaka kuchangia tukiwatunasubiri tamko la Ruge na Kusaga
 
Back
Top Bottom