​Nawasalim woote!!
Nadhani wadau wa Hip Hop toka kitambo watakua wanalikumbuka hili songi...skumbuki vizuri ilikua released mwaka gani lakini wakati inaanza kupenya maskion mwangu nadhani ilikua 2001 kama sio basi ilikua 2000
Najua kuna wadau wengi hum ndani wenye mapenzi na hiphop na wazuri pia katika kutunza kumbukumbu,so naomba msaada please ka naweza kuupata kwa njia yoyote ile ya kimtandao!!
THanx