Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Natamani kupata audio clips za Vipindi vya Radio Tanzania ya zamani vikiitwa Pwagu na Pwaguzi jamani. kama kuna mtu alirekodi mikanda ya vipindi vile, pamoja na taarifa za matukio kutoka Dodoma zilizotolewa na Ben Kiko. Tanzania ya zamani vipaji vilikuwa si haba kwa kweli. Tatizo tumeweka rekodi ya muziki na picha tu. Hivi kweli hakuna mahala naweza kupata hizi audio clips? Nitafurahi sana kupata msaada kupitia hapa.
Shida yangu ni mchezo wa Pwagu na Pwaguzi na matangazo ya Ben Kiko. Hivi Ben Kiko yupo wapi?
Shida yangu ni mchezo wa Pwagu na Pwaguzi na matangazo ya Ben Kiko. Hivi Ben Kiko yupo wapi?