baraza la mitihani kazi mnayo

baraza la mitihani kazi mnayo

ayubu.maenge

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Kwa habari nilizo zisikia ni kua baraza la mitihani wanatakiwa kurekebisha mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana na kutoa matokea mabaya,je mchakato huu utazingatia muda kweli,ili watahiniwa waweze kujiandaa kwa kidato cha tano?
 
mi nafikiri mtu ukiwa na PhD ya ukweli huna sababu ya kuburuzwa na kulamba miguu ya wanasiasa uchwara. Mi huyu mama wa NECTA simuerewi, PhD holder yeyote competent anaishi na kutambuliwa duniani kote/
 
Hakuna haja ya kuwa na Presha, hakuna usahihishaji upya ni mambo ya Standard deviation tu, wanarekebisha kanuni tu iliyotumika ambayo ili Upgrade alama za Ufaulu bila ya Maandalizi kwa hiyo ni kazi isiyozidi wiki mbili na Hakuna aliefaulu atatokea amefeli!
 
Back
Top Bottom