• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,392
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,392 2,000
Mpaka muda fainali hazijaanza, Tbc wanachofanya tangu saa tatu Usiku ni kupitisha ujumbe kwenye luninga kuwa fainali zitaanza muda wowote
Ngoja tusubiri lakini inaelekea kuna shida mahali
 
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Messages
13,505
Points
2,000
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2009
13,505 2,000
Kwa wale tuliokuwa tukifatilia lile shindano kubwa Bongo la kuibua vipaji vya wasanii wa muziki, fainali zinarushwa soon kupitia TV ya Taifa TBC.

Tujimwage sasa.
 
yantuzu

yantuzu

Senior Member
Joined
Dec 10, 2011
Messages
116
Points
195
yantuzu

yantuzu

Senior Member
Joined Dec 10, 2011
116 195
Tunaweza kuangalia online kwa tusiokuwa na tv?
 
Nyanya mbichi

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
3,578
Points
2,000
Nyanya mbichi

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
3,578 2,000
unatumia kisimbuzi nn?

Tbc majanga
 
Nyanya mbichi

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
3,578
Points
2,000
Nyanya mbichi

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
3,578 2,000
Labda atumie dstv atawapata vizuri maana kwenye antenna za startimes zinasumbua sana
haaa haaa wanatuwekea music hata haina maadili

naenda zangu kujificha niwahi kuamka mm
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,392
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,392 2,000
Hatimaye kuna matumaini kuwa wanataka kuanza sasa
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,557
Points
2,000
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,557 2,000
Mpaka Muda huu Fainali Ya Epic Bongo Star Search TBC1 ni Kuchezewa tu Miziki Mchanganyiko na Kiukweli Wametuangusha Mno Kwani Wenyewe Tulikuwa Tumeipania Kuiangalia ili Nasi Kesho Tutambe Mjini Kwa Kuhadithia Uwongo na Kweli Sasa Leo TBC1 Wamemaliza Ubishi na Kesho Hakuna wa Kumdanganya Mwenzake Mjini Labda Kwa Wale Waliokwenda tu Leo Club Escape ila Najua Wengi Kudadadeki Tupo tu Glued ktk Tv Sets Zetu Tukikodoa Tu Mimacho huku Tukiwa Tumenuna. Hureeeeeeee Hatimaye Sasa TBC1 Wapo Hewani Ikienda Saa 5 Kasorobo. Sasa Tunangojea Akina Yahaya Kesho Mtaani Watudanganye!
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,088
Points
2,000
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,088 2,000
angalien tena mambo yashaanza,acheni kulalamika mashindano yalikuwa hayajaanza
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,557
Points
2,000
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,557 2,000
Nani aku Up date? Acha Ubahili hebu Jongea Club Escape Kijana!!!!!!
 
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Messages
334
Points
195
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined May 5, 2011
334 195
,
Jamani kwa walioko kwenye live show watume up date.
mh....huna kisumbuz?ntaleta update....burudani ya kwanza imeanza....msechu akiimba na top 5
 
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Messages
334
Points
195
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined May 5, 2011
334 195
Majaji ni banana zoro.madam rita...master j...salama hayupo...
 
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Messages
334
Points
195
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined May 5, 2011
334 195
Yupo barnaba.fid q na salvado kama wana kitivo....
 
mpingauonevu

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
621
Points
225
mpingauonevu

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
621 225
Mpaka Muda huu Fainali Ya Epic Bongo Star Search TBC1 ni Kuchezewa tu Miziki Mchanganyiko na Kiukweli Wametuangusha Mno Kwani Wenyewe Tulikuwa Tumeipania Kuiangalia ili Nasi Kesho Tutambe Mjini Kwa Kuhadithia Uwongo na Kweli Sasa Leo TBC1 Wamemaliza Ubishi na Kesho Hakuna wa Kumdanganya Mwenzake Mjini Labda Kwa Wale Waliokwenda tu Leo Club Escape ila Najua Wengi Kudadadeki Tupo tu Glued ktk Tv Sets Zetu Tukikodoa Tu Mimacho huku Tukiwa Tumenuna. Hureeeeeeee Hatimaye Sasa TBC1 Wapo Hewani Ikienda Saa 5 Kasorobo. Sasa Tunangojea Akina Yahaya Kesho Mtaani Watudanganye!
sababu tano kwa nini siangalii BSS
1. Matokeo yanapangwa
2. Hakuna mshindi yeyote anayepewa hizo m50(nawaruhusu wapelelezi na wachunguzi mkajihakikishie)
3. superstar wa BSS wanaendaga wapi mbona hatuwaoni wakifanya vizuri? (BSS ni kitengo cha usanii cha kutengeneza mastar fake)
4. hata maelezo (maamuzi) ya salama, m jay na madam huwa ni script!!!!!!!!
5. wivu wangu maana na mimi nimekosa akili ya kutemgeneza kipindi cha kikanjanja ili niingize pesa ndo maana namuonea wivu kanjanja madamu rita. Taifa kanjanja, watoto wetu makanjanja, kizazi kizima manjanja! NA HIZI NDIZO ATHARI ZA CCM NA ZITO!
 
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Messages
334
Points
195
B

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined May 5, 2011
334 195
.Amina chibaba toka mbeya anaimba..
 

Forum statistics

Threads 1,404,380
Members 531,585
Posts 34,452,238
Top