kingfish
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 571
- 159
WAKATI DUNIA IKIOMBELEZA KIFO CHA SHUJAA NELSON MANDELA MIMI BINAFSI NILIMFAHAMU HUYU MWANAMAPINDUZI MWAKA 1983 SIKUMBUKI TAREHE ILA ILIKUWA MWEZI WA SITA, ILIYOKUWA REDIO TANZANIA DAR ES SALAAM (RTD) ILIRUSHA HEWANI WIMBO ULIOPIGWA NA BENDI YA D.D.C. MLIMANI PARK OCHESTRA ULIOITWA NELSON MANDELA,WAKATI HUO MANDELA ALIKUWA JELA,MAUDHUI YA WIMBO HUU NI KUUTAKA UTAWALA WA MAKABURU KUMFUNGULIA MANDELA.HAPO NDIPO NILIMPOMFAHAMU HUYU MTU.NAKUMBUKA BAADHI YA MANENO KTK TUNGO HIYO NI;
"Kwa vile sheria katili za makaburu,
Zinakataza kuchapisha nyaraka za mfungwa huyo,
Kadhalika picha zake zisichapishwe ,
Na hata kutajwa asitajwe ".
"Maskini Mandela eee!"
"Nelson Mandela x 3."
"Makaburu watake wasitake
Mandela ee ameibuka kuwa mtu maarufu kabisa,
Ndani ya nchi yake na nje ya nchi yake Mandela."
LAZIMA TUKUBALI WANAMUZIKI WA ZAMANI WALIKUWA MAHIRI KUTUNGA NYIMBO ZA KUHAMASISHA UKOMBOZI WA MWAFRIKA