Spanishboy
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 118
- 65
Tanzania inaorodha ndefu ya vivutio vya utalii ambavyo vinasimamiwa kikamilifu na Shirika la Hifadhi za Taifa la Tanzania (TANAPA) lakini kuna ambazo zinafaa kutembelewa wakati huu wa sikuu kuu ambazo ni pamoja na hifadhi ya Taifa ya Arusha, Katavi, Mikumi, Manyara, Ruaha, Rubondo, Serengeti, Saadan, Udzungwa na Kitulo. maelezo na maelekezo ya namna ya kufika maeneo haya yako hapa Very hot: Maeneo 10 ya kutembelea msimu wa Krismas na Mwaka Mpya - Tabianchi