Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naangalia hapa EATV...filamu ya kibongo ya kitambo ya JOHARI....Maaan I'm watching The Late Kanumba,Ray,Johari na Mainda with their humble beggining.......Ni drama za kuvunjika mbavu.....
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Diana & Marvin - You're my everything - YouTube
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Leo nimeangalia TPF saa 2 mpaka saa 3 EATV kilipomalizika nikahamia TBC1 kutazama EBSS hakika nilichogundua ni kuwa TPF iko juu kuanzia contestants, bend, faculty mpaka judges kuliko EBSS ambako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini Wadau! Natafuta sana ngoma za hao jamaa za hiyo album. Msaada jamani! sehemu nyingi hii album hawana sijui kwa nini!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Aje wadau wa jukwaa. Kuna nyimbo fulani zina mahadhi ya Kiafrika nilikuwa nazisikia kwenye filamu za zamani za Naijeria (Aki na Ukwa, Hour of Grace n.k.). Kwa anayefahamu zile nyimbo (tanzu)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia hii patashika ilishawahi kwenda hadi Bungeni hapa Bongo. Malaika, Nakupenda Malaika... Ningekuoa Malaika... Here's the whole song "Malaika" with translation Authorship of...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
'Twas the night before Christmas And all through the house Not a creature was stirring Not even a mouse In my mind, I want you to be free For all of our friends, to listen to me Now hear...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Salaam wakuu, nafungua thread hii ni maalum kwaajili ya kupromote wasanii wachanga wanaochipukia katika mziki wetu wa kizazi kipya. Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kwa wasanii wadogo ambao ndio...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Huyu dogo namkubali kwa kweli, licha ya udogo wa umri ila kimziki yuko vizuri sana na style ya uimbaji wake wa mahadhi ya zouk imetulia sana. Sijui ni kukosa promo, management au nini...
1 Reactions
7 Replies
12K Views
Wakuu katika kupitia mtandao nimektana na radio hii inaniwekea miziki mizuri sana inanikumbusha enzi zetu. kwa wale vijana wa zamani kama mimi link hii hapa: Radio Asante! - Jackson 5 - I Want...
1 Reactions
0 Replies
734 Views
ubunifu ni kitu pekee kinachoweza kuitofautisha brand moja hadi nyingine/kampuni nyingine ambazo/yo inatoa huduma zinazolingana/fanana. Nirudi kwenye topic,sina shaka na uwezo wa clouds media...
4 Reactions
88 Replies
11K Views
Ni kwa tani yako @ www.rahatz.com click hapa kuiona
0 Reactions
0 Replies
49K Views
Hii kitu coke studio iko poa sana, jamaa wamejipanga na wanaweka vionjo vya aina yake lazima mtu uipende tu. Hivi inafanyikiwa nchi gani wakuu? Bongo inawakilishwa na Diamond, Lady Jaydee...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Salaam, Zamani sana nilikua mpenzi wa nyimbo za mwambao wa pwani (taarab) na kikubwa nilivutika na tungo za wasanii mahiri wa mziki huo zamani kama kina marehemu mzee Issa matona, Siti bint Saad...
4 Reactions
33 Replies
27K Views
Mkenya, Lupita Nyong’o atwaa tuzo ya Hollywood Vipi kwa wasanii wetu wakibongo ? hasa wa kike au wao kazi ni kukaa na kupiga picha za uchi na kuzisambaza mitandaoni? na kugawa uroda bila...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Dear wapendwa I hope mu wazima: Nina dukuduku I know kuwa as watanzania tunatakiwa kuonyesha uzalendo kwa kusupport kazi za watanzania wenzetu. Leo MwanajamiiOne nazungumzia swala zima la...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa wale wapenzi wa movies... any idea wapi naweza kupata movie hii?
0 Reactions
1 Replies
830 Views
ile series bora zaidi kuwahi kutokea ya 24 itarudi tena mwakani ambapo jack bauer ataigiza series nyingine itakayoitwa live another day, dah naisubiri kwa hamu sana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyimbo naipenda sana.Munishi mkali sanaaaaa,akifuatiwa na Jangala son,Dungwa sindano ninouma,
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom