Live updates: Evans Bukuku stand up commedy show @Golden Tulip

Live updates: Evans Bukuku stand up commedy show @Golden Tulip

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,862
Reaction score
2,156
Kwa wapenzi wa stand up commedy, leo ndio show ya mwisho wa mwaka iliyoandaliwa na Evans Bukuku (Vuvuzela Co. Ltd).

kutakuwa na wachekeshaji wa ndani na wengine kutoka kenya na nigeria.
 
sasa anaperform evans. very interesting.

anafuatia kijana wake.. Ray
 
nimependa Ray anaigiza sauti za watangazaji na watu maarufu, wawapo kazini na wanapokuwa na wapenzi wao vyumbani.. lolz

kaigiza wengi ikiwemo mkapa, reinfred masako, mengi n.k
 
Dada Huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost craps????????
 
Comedian gani huyo most of the tym anaitumia kujichekesha mwenyewe?
 
Back
Top Bottom