Anaejua mwimbaji na jina la wimbo huu ni asaidie

Rosterm

Member
Oct 18, 2012
7
1
Tungo hiii muumbaji wa kike anaitwa nani na wimbo huu unaitwajee yeyote wimbo umetoka muaka ya 2000 ---2005


Tutulie mpenzi wangu, mimi wako daima,
wasikutishe kwa maneno, mimi ni wako daima
 
Tungo hiii muumbaji wa kike anaitwa nani na wimbo huu unaitwajee yeyote wimbo umetoka muaka ya 2000 ---2005 Tutulie mpenzi wangu, mimi wako daima, wasikutishe kwa maneno, mimi ni wako daima
anaitwa jack marie {maria} wimbo tulia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom