ukimuona Amo Blaze unapishana nae alivozeeka kwa pombe labda kama amebadilika tena....unyamwezi wote kapuni!mitungi kwa sana na sijui kama hali ngada...last time kumuona alikuwa anatoka na mama la kizungu!..kina lawrence marsha ndo madon wake wanaompa ahueni mjiniHuyu dogo alikuwa moja ya vichwa pale EA radio na baadae Ruge na Habash wakamvuta kipindi Choice fm inaanza ambako hakukaa sana ndio imekuwa kimya hata mimi sijamsikia tena.
Labda mtoto wa mjini Muuza Sura anaweza kujua pengine wanakutana kwenye bata.
ukimuona Amo Blaze unapishana nae alivozeeka kwa pombe labda kama amebadilika tena....unyamwezi wote kapuni!mitungi kwa sana na sijui kama hali ngada...last time kumuona alikuwa anatoka na mama la kizungu!..kina lawrence marsha ndo madon wake wanaompa ahueni mjini
Amos Bondo