Mtunzi wa wimbo wa joto hasira ajitokeza

Mtunzi wa wimbo wa joto hasira ajitokeza

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,825
Nimeikuta mtandaoni nami naileta kama ilivyo:


Few minutes ago, mwanamuziki LADY JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single yake ya sasa inayojulikana kama JOTO, HASIRA ... Ikimaanisha ni kama JAYDEE ameurudia wimbo huo ... According to mwanadada huyo, mtu huyo ni kutoka nchi jirani ya KENYA ... Check alichoandika LADY JAYDEE hapa chini ...


CHANZO :
http://www.gongamx.com/profiles/blogs/lady-jaydee-asema-mtunzi-mwingine-wa-wimbo-joto-hasira-aibuka-ali
 
Wimbo ni wa kienyeji wa kabila la kijita, Jide kauchakachua kama alivyofanya kwa ule wa 'wanaume kama mabinti'. huyo mkenya hana lolote labda katumwa na RM.
 
Mimi ngoja nitunge Baridi furaha, lazima ulaya nao waige tu.
 
Ndio kusema ile kauli ya kinA joti ya KILAZA imemwangukia jide....
 
Back
Top Bottom