mkuu umetiririka vizuri ila umekosea ktk kuwahusisha wahindi ktk tuhuma za kushuka kwa bongo movies.hawa wenzetu ni watu wa kuchangamkia fursa.wali invest mitaji yao since day one when bongo movie became productive for profit .mind you there was a vacuum in distribution sector and the indians went for it.usambazaji ni jambo ambalo lilitakiwa kufanywa na wabongo wenyewe badala ya mhindi.wadau wazawa ktk bongo movies walitazama vitu viwili tuu,ku shoot na kuigiza (kuuza sura),marketing side ya bongo movie hawakuipa kipaombele.mhindi ambaye tayari alikuwa na mtaji mkononi aka take over ktk distribution.leo tusiwalaumu kwa ujanja wao wa kuchangamkia fursa.nasikia kuna jamaa/muigizaji anaitwa mtitu kashajitambua.amejianzishia kampuni yake ya usambazaji,ingawa kachelewa cos ku- conquer soko la mhindi inabidi uwe mtu wa fitina sana.