Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,737
- 935
Kwa wale wanaomkumbuka gwiji huyu wa kupiga vyombo baridi (saxaphone) na kuimba wanamkumbuka vizuri alivyotama na nyimbo zake kali sana kutoka south afrika, kama vile ,Skorokoro,weekend special n.k zilizotamba ktk kumbi mbali mbali za disco mwishoni mwa miaka ya 80, jana nimemuona live Gabarone Botswana katika maandalizi ye majirani zeti kwa ajili ya mashindano ya 33 ya olympic bado ni Moto wa kuotea mbali, na bado anauwezo mkubwa wa kumudu chombo chake na kuimba kwa ufasaha! Nampa big up kwa kuitunza vema afya yake.