Nataka kujua pa kupumzika xmass mbeya

Nataka kujua pa kupumzika xmass mbeya

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
wana jf wanaoifaham mbeya ya sasa ilivyo,naomba msaada wa kujulishwa sehemu nzuri ya kwenda na familia yangu kula na kunywa jijini hapo katika siku ya xmass.
 
wana jf wanaoifaham mbeya ya sasa ilivyo,naomba msaada wa kujulishwa sehemu nzuri ya kwenda na familia yangu kula na kunywa jijini hapo katika siku ya xmass.

Nenda Hill View Hotel (www.hillview-hotel.com) ...ni sehemu nzuri kutulia na familia, wana room kama apartment kwa familia.
 
Back
Top Bottom