Wema sepetu amenizimia,amenipa hata pete yake ili nimuoe lakini sina imani naye

TRIPLE H

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
651
500
Wema Sepetu ni mmoja kati ya wasanii wakali wa filamu ninayempenda kutokana na jinsi anavyoigiza.
Kutokana na hali hiyo nilimfuatilia kupitia ukurasa wake wa f/b hatimaye tukafahamiana.
Wema ni mcheshi na mkarimu;kwa muda wa miezi kumi tangu nifahamiane naye tumefanyiana mema mengi,lkn mara hii kazua mpya;ananitaka niwe mpenzi wake wa siri na tayari amenipa pete eti ya uchumba bubu.Anajua wazi kuwa nina mchumba ambaye tunatarajia kuoana mapema mwezi wa pili lkn yeye ananibembeleza tuwe tunalalana;natamani nikubali kum-do japo kwa mara moja lkn namwogopa kwa sbb simwamini kiafya ukizingatia ametembea na watu kibao wakiwemo kanumba na diamond,nachelea afya yangu.
Nimfanyeje rafiki yangu huyu? msaada tafadhali.
 

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
16,297
2,000
AHAHAHAHAHHAHAHAHHAHHAHHA ! The Boss
uwage unanipigia simu bana matukio kama haya yakitokea!
uuuuwih!
hakyamama jf ni zaidi ya raha!
mwe!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom