WAPENZI WA RUMBA ROCK ME ROCK ME NA NYINGINE NYINGI 1980's

Wakuu kuna nyimbo nakumbuka enzi za udogo tulikuwa tunaimba "mirungi o o o mirungi o ho o o" halafu kuna sehemu wanaimba "colombia..colombia o o o " anayekumbuka anaujua ulikuwa wimbo wa nani? na kuna ule mwingine tulikuwa tunaimba " long time sijakula chips.." nao kama unaendana na wa kwanza hapo juu!
 
najaribu kuikumbuka je sio iliyokuwa inaitwa colombia ? Ninayo stock kubwa ya nyimbo hz ngoja nitajatibu kuitafuta kaka
 
Back
Top Bottom