epigenetics
JF-Expert Member
- May 25, 2008
- 269
- 83
Kama kuna mwenzangu mwenye mapenzi na old school TZ Hiphop ningeomba anishtue kama anayo mp3 ya wimbo wa Hashim Dogo iitwayo 'I shot an emcee'. Kama sijakosea, ilitoka kati ya miaka ya mwisho mwa tisini au mwanzoni mwa elfu mbili.. Natanguliza shukrani...