Katika Kipindi chake cha Diary of Lady Jay Dee Mwanamuziki Huyo Maarufu ameonekana akiwa kwa Mpiga Ramli wa Kihindi Ambae alikuwa anamtabiria Mambo mbali mbali ya maisha yake katika mwaka huu...
Tupia movie kali za kusisimua za mwaka 2014 ambazo hauta zisahau na pia na kwako unaona ni best movie kwa mwaka 2014 angalau tano tu siyo za kibongo za mbele
Nimekutana na hii kitu wadau. Tamthilia ya MAPANKI inakuja mtandaoni na inaonekana itakuwa bab kubwa! Promo yao iko Youtube: http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA
Na taarifa zaidi ziko MAPANKI
Naona umetulia.Tanzania kukubalika kimuziki ni rahisi kuliko kukubalika kifilamu.Muziki unachangia pato na utajiri wa nchi kwa kiasi kikubwa.Muziki unaitambulisha nchi kwa haraka.Ukisikiliza wimbo...
Baada ya habari ya kushtua ya msanii wa Hip hop NIKKI MBISHI,kutangaza kuacha MUZIKI.
Leo nakuletea baadhi ya mistari ambayo msanii mwenzake wa hip hop ambaye kwa kiasi kikubwa alimu_Inspire ni...
Top Nollywood Actor, Muna Obiekwe Dies Of Kidney Failure
Popular Nollywood actor, Muna Obiekwe has passed away after a battle with Kidney failure.
The Trent exclusively reports that the actor...
Nimeiona iko poa sana! Its a kind of a Romantic comedy
Stars: Craig Robinson, Kerry Washington, David Alan Grier
Sparks fly when Wade Walker crashes the Peeples...
Aisee nawapa tano kwa kweli mmenifanya nikumbuke enzi za milambo boys dah nyie watu nyie hatari music za zamani bongo flava nawakubali sana cku hizi ni mapenzi tu kila anaeimba
Nilikuwa naangalia jana Show ya Sporah, nikahuzunika sana jinsi ambavyo madawa ya kulevya yanaweza kuharibu maisha ya mtu na kumzibia nafasi mbalimbali. Hili ninasema bila kum-judge mtu. Tufunguke...
Hakika kwe ngoma ya Kalla Pina alomshirikisha Dimpoz mchizi kalegea sana.Zile mishe zake za kukaza ka pindi ile hakuna,dizaini kama vile alikuwa anabana pua ili asifichwe na Dimpo.
Kweli...
Katika harakati za kufatilia kinachoendelea Hollywood Marekani, nimegundua kuwa Mastaa wengi katika tasnia za filamu na muziki wamekua sehemu ya maisha yetu hasa kwa vijana waliopo katika mashule...
Tigo wamezindua tamasha la kiboko yao litakalofanyika tar 24 Mwezi huu pale Leaders club.
Diamond, ally kiba,Fa,Fid Q na wengineo watakuwa hapo.
Mliopo huko nendeni,mtakaoenda kuzomea au...
Lupita continues her red carpet reign in stunning floral gown at Golden Globes
She became a style icon after consistently hitting it out of the park during last year's award season. And last...
Ni jambo lililowazi kwa wafuatiliaji wa muziki wa bongo fleva kuwa kwa sasa wasanii Ally kiba na Diamond wameingia kwenye ushindani mkubwa.
Kiasi kwamba Clouds fm na East africa Radio wameingia...
Mwishoni mwa mwaka huu kumetokea mambo kadhaa yaliyoleta msisimko mkubwa katika soko la filamu za kitanzania....
Issue iko hivi,Steps Entertainment ambaye anaaminika kuwa ndiye distributor...
Jamani wacheni utani, nimekatiza mitaa fulani hivi hapa Kimara, nikausikia wimbo wa malaw "pipii" ikabidi nisimame niusikilize nikajikuta napagawa nafuatisha ile mistari dah! Namkubali kichizi...
Ni ukweli kwamba bila jitihada sanaa haitakulipa. Msanii mwenye kuipenda kazi yake na mwenye dhamira ya kweli ya kuona matunda ya kazi yake, sharti ajitume sana ili afanikiwe. Nasisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.