Hatari tupu

Hatari tupu

Last edited by a moderator:
Vitu vitamu lakini vifupi mnooo..hiyo friji ina makufuli tena!?
 
Binafsi nahisi si wabongo.

Nadhani kilichofanyika ni kuunganisha tu hiyo audio na video za wachuchu wakikata viuno.

Ila maneno muhimu hapo ni 'nahisi' na 'nadhani'.

Hivyo inaweza ikawa sivyo na ninavyohisi na kudhani.
 
Inamaana hayo ndio mambo ya The boss!!
 
Binafsi nahisi si wabongo.

Nadhani kilichofanyika ni kuunganisha tu hiyo audio na video za wachuchu wakikata viuno.

Ila maneno muhimu hapo ni 'nahisi' na 'nadhani'.

Hivyo inaweza ikawa sivyo na ninavyohisi na kudhani.

Wabongo yale makundi yalikouwa yanajiita 'khanga moko'
now kuna kundi linajiita 'bikini chali'
ha haaa
 
wpid-ukwii14.png
 
Mhhh!!! Nimekosea njia sijui hata Niko wapi!!!!
 
Back
Top Bottom