Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Natanguliza shukurani, mwenye wimbo huu wa mlimani pack, sijui unaitwaje ila kuna mashairi yanaimba MUME HUYU C RIZIKI TENDE HALUAHALUA!! Nimejaribu kuutafuta cjaupata. nitashukuru wakuu.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
huku napo kaa times inaishika fresh sana lkin vipnd vyot cijacikia nyimbo ya Fid kupigwa hasa ktka bst show ya THE JUMP OFF
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natazama Cloud TV hapa naona Kalapina ana host kipindi kinaitwa " HARAKATI NA KALAPINA " a.k.a TANZANIA BILA DAWA ZA KULEVYA INAWEZEKANA. Da nikikumbuka enzi hjizo 2004/2005...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natumia neno kucause mass destruction, no physical attraction but my mind is beauty, am literary speaking so its a code now decipher, I decapitate weak MCs u'd say am Lucifer......
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Sijui anaitwa nani...sijui ni mtu wa wapi...na sijui kama kweli alikuwa anaucheza wimbo wa Ali Kiba. Ila nachojua ni kwamba hiyo shepu na hiyo miondoko inanipa midadi isiyoelezeka. Natamani...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Ebu shusha majina ya watangazaji wa show za burudani ambao wanafanya vizuri sana
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Haya matangazo yanayokwenda hewani kila sekunde, dakika na saa Clouds TV ya kuhusiana na matamasha yako ya uzinduzi kama siyo utambulisho wako wa single yako ya "Cheketu Cheketua". Huko Mikoani...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Haiyaaa haiyaaaa.......... Wale wadau wa hili game........ni msimu mwingine tena umewadia wa kuburudisha mioyo yetu........ Ni leo tar 5 Oct........saa mbili usiku kwa saa za kwetu bongo......(SA...
11 Reactions
1K Replies
187K Views
lets agree to disagree:juggle: Gadner G.Habash amerudi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baadhi ya nyimbo za Diamond (na wengine including Ali Kiba) zilizo YouTube zimepigwa pin kwa maana kwa baadhi ya applications mtu hawezi kuzidownload. Nimshauri tu Diamond na wengine kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guyz mwenye wimbo mpya wa rama dee "usihofie wachaga" naomba anitumie..nicheki pm..thx in advance
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kuna wimbo mpya wa Nikki Mbishi kautambulisha Jumamosi kwny kipindi cha Planet bongo nautafuta.Naomba mwny link anitumie.Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa wa jamvini nahitaji mwenye movie za action , zombie vampire...anayepatikana dar es salaam nimtafute mda ambao hana kazi yaani atakuwa free anipatie movie . Namba yangu ya simu ni hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili goma ni kali sana, hawa kwa wanaojijua wao ni kina nani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasanii wetu wapo kutokana na kubebwa na media, sasa nimesikia kuwa vituo vya redio na television vinavyotaka kucheza kazi za wasanii nchini vitalazimika kuwalipa wasanii kwa kucheza kazi zao hizo...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Habari zenu wote Kwa ufahamu wangu naelewa "music director"(sina kiswahili chake) anadeal na muziki lakini bado nataka kujua zaidi ; Ni nani? Majukumu yake ni yapi? Kuna umuhimu wa kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni leo ucku & every Wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the Continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo! http://youtu.be/klMUOPAZyrI
0 Reactions
147 Replies
41K Views
Idara ya sanaa- CHADEMA Taifa inakuletea siku ya mziki na siasa, tamasha hilo litafanyika tar 11/3/2015 j/tano club bilcanas posta. Wasanii watakao pamba tamasha hilo ni; Afande sele, Pro j...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Japo mwaka ndo uko mwanzo ila hii ngoma wana wamefanya kweli,kiasi fulani nauona mziki wetu ukielekea kule nako kufikiria siku zote, sio Nigeria sijui Afrika magharibi ninini huko. Ila wakongwe...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Akiwa amejisifu kuwa alipumzika nje takribani miaka mitatu huku akiwa tayari ashafika level za international ikiwemo kile anakisifia sana kufanya Kolabo na R. Kelly (One8), bado amerudi...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Back
Top Bottom