issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Wadau nadhani huu utakuwa mpambano mkali wa kali wa bongo fleva wanaofanya vizuri kibongobongo. Je, ni nani mkali kwako kati ya Aly Kiba na Ney wa Mitego? Karibu..
Wadau nadhani huu utakuwa mpambano mkali wa kali wa bongo fleva wanaofanya vizuri kibongobongo.je ni nani mkali kwako kati ya Aly Kiba na Ney wa Mitego?.karibu
Wadau nadhani huu utakuwa mpambano mkali wa kali wa bongo fleva wanaofanya vizuri kibongobongo. Je, ni nani mkali kwako kati ya Aly Kiba na Ney wa Mitego? Karibu..
Nimetamani nikutukane bonge la tusiiii wewe mleta mada basi tu bado naipenda JF.
Ney wa mitego nomaaa
Hahahaaa, ningeshangaa kama nisingekuona hapa.