Fid Q and videos

Fid Q and videos

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Fid q, bonge moja ya emcee, probably the best we've ever had bongo. Ila jamaa video zake duuh! Sijui labda jamaa anajaribu kuwa 'cool and all' kupita maelezo ama ni nini, but one thing for sure, video zake huwa zinakuwa chini. Nilidhani bongo hip-hop ingekuwa nafuu ila ndio sijaielewa kabisa arif! Ni mtazamo tu
 
Mkuu ukiangalia vizuri video zenye ubora tz zilianza mwaka jana mwishoni flani hivi
Mpaka sasa wana hip hop waliotoa video za viwango ni Ay na FA nadhani

Video nyingi za Fid q ni za zamani na ni zile flani hivi za culture ambazo si rahisi kuelekweka na wengi

Ni kweli wanatakiwa kubadilika sana
 
Mkuu ukiangalia vizuri video zenye ubora tz zilianza mwaka jana mwishoni flani hivi
Mpaka sasa wana hip hop waliotoa video za viwango ni Ay na FA nadhani

Video nyingi za Fid q ni za zamani na ni zile flani hivi za culture ambazo si rahisi kuelekweka na wengi

Ni kweli wanatakiwa kubadilika sana


Sio quality ya picture tu, hata physical appearance na gestures za mshkaji mara nyingi zinakosa connection na anachokiimba au aina ya muziki anaoufanya. Ukiangalia bongo hiphop lazima utakuwa disturbed in a way boss
 
Nilikuwa nianzishe uzi kuhusu hii video music mpya ya FIQ, lengo ni kumchambua video director Nisher. Tangu nianze kuangalia video alizotengeneza Nisher, sijawahi ona kazi nzuri iliyonivutia, shida ipo kwenye creativity and co ordination, katika video mpya ya FID Q ameweka bwembwe nyingi sana mpaka ikaondoa uhalisia, kule kuunganisha picha, double image ambako kunafanywa pia na editors wa mtaaniwanao fanya video za harusi, In short sijaona lolote la ubunifu katika kazi za Nisher.

N.B Sina bifu nae, he is ma boy, i know him tangu akiwa 3yrs old (nickdavie).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom