Msaada Wenu Wa Mawazo

Msaada Wenu Wa Mawazo

Joined
Jul 30, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Nawez Sana Kuimba Ila Cjapata Mzamin Na Sina Sapot Yoyte.Nisha Jarbu Kutafta Msada Ila Hakuna Nlichoambulia Zaid Ya Kukatishwa Tamaa...Naweza Sana Kurap Pia Ata Rnb,tatzo Ni Uchum Wang Yan Bdo Uko Chni Sana...Naomben Msaada Wenu Ata Ushaur Tu Unatosha..Namb Zang Za Sim 0756525438
 
Mzamini huwezi kupata kabla ya kazi yako kuonekana! cha muhimu komaa kufanya mazoezi huku ukikomaa kutafuta hela ukarikodi hata single mbili. ili watu waione kazi yako

kumbuka anajisaidia ndio husaidiwa kuliko anayetegemea kusaidiwa tu.
 
Poa Nimekuelewa Bro
 
una hakika na uwezo wako?? nitafute 0713644485
 
Back
Top Bottom