Wapenzi wa Taarabu, huu ni wimbo gani?

Wapenzi wa Taarabu, huu ni wimbo gani?

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,649
Reaction score
14,319
Najua wapo wapenzi wa taarabu humu ndani na mtanisaidia kuutambua huu wimbo nauambatanisha hapo chini
Nautafuta sana nilibahatisha kuusikia kwenye redio ikabidi niurekodi fasta hizo sekunde za mwisho

Tafadhali kama unaujua unaitwaje na umeimbwa na nani, au nikipata link ya kudownload kabisa nitashukuru
 

Attachments

Huo wimbo unaitwa Viumbe wazito kaimba Bi mwanahawa Ally Kundi la East African Melody.
 
Kuna baadhi ya maneno ameyaimba yalikuwa yakinitoa machozi kutokana na maisha niliyokuwa nikiishi na baadhi ya ndugu zangu na mama wa kambo.
 
Wimbo mmoja mzuri sana aisee ujumbe umetulia
Yote tisa mi kule mwisho kwenye kinanda na vibwagizo
 
Back
Top Bottom