Diamond platinumz unaibiwa dr congo

Diamond platinumz unaibiwa dr congo

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,738
Waungwana leo wakati nikienda Masjid hapa mjini GOMA, hamadi nikakutana na duka moja wanauza maT-shirt na nguo nyinginezao, miongoni mwa T-shirts hizo ambazo kwa mujibu wa muuzaji zinapupiwa sana ni za msanii Diamod Platnumz na Rick Ross . Hivi huyu mwanamziki anajua kama DRC watu wanavuna mgongoni kwake? C360_2015-03-06-12-00-16-730[1].jpg
 
ndio anaibiwa au umaarufu unaongezeka? ina maana sisi tunavyovyaa manguo yameandikwa lil wayne, p diddy,2pac nk tunawaibia? haya mwambie afunge safari akakamate hilo duka
 
Waungwana leo wakati nikienda Masjid hapa mjini GOMA, hamadi nikakutana na duka moja wanauza maT-shirt na nguo nyinginezao, miongoni mwa T-shirts hizo ambazo kwa mujibu wa muuzaji zinapupiwa sana ni za msanii Diamod Platnumz na Rick Ross . Hivi huyu mwanamziki anajua kama DRC watu wanavuna mgongoni kwake?View attachment 232533

Mkuu Hao Wakongo Wa DRC Mbona Wako Mbali Sana? Huyu Jamaa Hapa Hapa Bongo Anaibiwa Sana Na Ile ON SALE RADIO STATION ( Mawingu FM ) Kupitia Kwa Kibaka Mzoefu Wa Wasanii Wa Bongo Ruge! Na Anaibiwa Haswa Na Kunyonywa Nae Mno Tu.
 
acha aibiwe mkwanja mbuzi wa tshirt huko DRC!! yeye aende kupga show za maana uko bondeni(south)
 
Mkuu Hao Wakongo Wa DRC Mbona Wako Mbali Sana? Huyu Jamaa Hapa Hapa Bongo Anaibiwa Sana Na Ile ON SALE RADIO STATION ( Mawingu FM ) Kupitia Kwa Kibaka Mzoefu Wa Wasanii Wa Bongo Ruge! Na Anaibiwa Haswa Na Kunyonywa Nae Mno Tu.
hivi Mawingu Fm na Ruge wake wasanii wameshindwa kumdhibiti.?
 
Mbona Congo kuna kikundi walikuwa wanajiita TMK? Walikuwa wanafanya show kabisa
 
Tumevaa sana tshirt za 50 Cent na Nelly, na zile zilikuwa zinaprintiwa na wahindi tu hapa bongo, so kuibiwa sio yeye tu, cha msingi aichukulie hiyo kama fursa ya kujitangaza zaid
 
Back
Top Bottom