NEW MUSIC Trending Now: District_9 x ms rizzy.

NEW MUSIC Trending Now: District_9 x ms rizzy.

sekulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
988
Reaction score
158
Dah Sio mbaya nikiwashtua kwamba kuna jiwe jipya kutoka kwa watu wanaojiita district_9, Hii ni ngoma yao ya kwanza mimi kuisikia, imerekodiwa ktk studio za BHitz chini ya usimamizi wa Pancho latino na Hermy B

Ngoma ni kali jaman kwa wanaopenda hip hop.....

Download it here ---------> :A S 465::A S 465::A S 465:​:A S 465:NEW AUDIO District 9 ft Miss Rizzy :A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom