Thanks kwa wote walioni-check PM ntampa report jamaa.
Na hata kama wee ni DJ,PROMOTER,MANAGER,PRESENTER au hata kama ni DIRECTOR sio mbaya ukimpa mwana support,YOU ARE WELCOME.
Download...
Dah!! Kweli jide safari hii umetuweza aiseeh na hii single yako mpya ya forever, wambea tumewazaa eeh na kuwazua ila hatujapata jibu kamili, ivi forever utakuwa umemwimbia nani? Gadner? Sidhan...
Ni baada ya website ya Mdundo.com kutangaza wasanii bora wa Hip-Hop Tanzania kwa mwaka, huku Songa akishikilia nafasi ya Tatu, listi ikiwa ni
1= NIKKI MBISHI
2= ONE THE INCLEDIBLE
3= SONGA...
Niambie!
Naombeni mnisaidie wadau kupata sauti za vicheko zilizorushwa sana Clouds Fm kipindi cha Afrika Bambataa kilichokuwa kinarushwa saa 3 usiku na Amina Chifupa.Vicheko hivyo vinaundwa na...
Ni Mlasi Feruzi, mwanamuziki aliyekuwa akifanyia kazi na kundi la Jambo Survivors, mwimbaji wa kibao maarufu cha 'Maprosoo'. Anahojiwa na Masoud Masoud katika kipindi cha muziki wa kitambo hapa...
Januari 21, 2015
Singer-Diamond Platinumz
Genre-taarabu/Mduara
Diamond Platnumz - Nasema Nawee https://www.youtube.com/watch?v=DT7uZ-PVUi8
Source: Hisani ya TANZANIA ONE wa YouTube
Kwa Hisani ya BONGO NATION wa YouTube:
January 21, 2015
Kibao cha Rhumba colabo ya Linah Ft Christian Bella~Hellow {NEW BONGO MUSIC}2015 https://www.youtube.com/watch?v=5SQvae3hHsY
Nilikua napitia mada hii
Tujikumbushe bendi zetu za zamani miaka ya 80 na 90 mitindo yao na wanamuziki wake
Kisha nikaja kusoma hii
beats kali toka kwa p funk
kichwa kikaniuma baada...
kipindi cha nyuma kidogo tulikuwa tunalalamika kuwa sisi watz hatuna tunachokijua zaid ya BBA, sasa kwa kipind hiki vijana wenzetu wameonesha kufanya vizuri na kulitangaza taifa letu, sisi wenyewe...
Hawa ni watu ambao kwa mtazamo wangu wana impact kubwa sana kwenye huu mziki wa kizazi kipya "Bongofleva", yaani wameacha alama ambayo haitakuja kufutika vizazi na vizazi, wametoa hamasa kubwa kwa...
Mimi naona hili ni tatizo sana kwetu unakuta msanii anaigiza kitu ambacho kwa kweli hakijatendea uhalisia wa hiyo subject/situation anayoiimbia haki kabisa na kuondoa ile dhamira ya sanaa ya Video...
if it doesnot ring a bell in ur nut pliz pita hivi :flock: soma kwanza ndo ukomenti kuna vipele hta havijasoma vinakimbilia kukoment pumba.
"The 4th Branch" by IMMORTAL TECHNIQUE...
haya wadau,mwaka ndo umeanza na mamuvi yashaanza kutolewa, hebu tupieni hapo movies ili wale wapenzi wa movie kama mimi waweze kufaidi, kiukweli mimi huwa napata ari ya kudownload movie kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.