Msanii Rubby special thread

Msanii Rubby special thread

Marapai

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
314
Reaction score
374
Mshindi wa Super Diva Serengeti fiesta 2014 pia anatamba na single ya ""Na Yule "" .

Kipindi cha mwanzo nilihisi kama Clouds Media Group wanambeba hivi ila baada ya kumuona kwenye party la Valentine's pale ESCAPE 1. na leo tena nimemuona kwenye msiba wa Capt Komba (R. I. P ) akitumbuiza nimegundua kwamba Rubby kama Rubby ana kitu cha ziada kama akikaza ipasavyo basi wasanii hasa wa kike wakae mkao wa kupokea kipaji cha aina yake katika Tasnia ya Muziki Tanzania.....

Nahitaji mawazo yenu wadau.!!!!!!!!!
 
Kweli mkuu huyu manzi anajua sana na hiyo ngoma ya NA YULE ndo bhaaaaaaasi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom